Facebook wanuia kuvunja ndoa za watu.... Sasa waja na jinsi ya kusoma chati/sms kwenye akaunti ya rafiki au mpenzi wako
Huduma hii imezinduliwa mapema wiki hii na kusema ni mkakati wa FACEBOOK kufikia malengo ya milenia wa kuhakikisha kila mtoto anakuwa na baba, kila mtu anakuwa na mpenzi pasipo ugomvia au kusalitiana hasa kupitia mitandao ya kijamii.
Pia wamesema mpango huu ni wa kupunguza wajinga wengi ambao wao hufikiri facebook ni kwa ajili ya burudani tu.
Hatua za kufanya ni kama zifuatazo:-
1. Search jina la rafiki yako
Pia wamesema mpango huu ni wa kupunguza wajinga wengi ambao wao hufikiri facebook ni kwa ajili ya burudani tu.
Hatua za kufanya ni kama zifuatazo:-
1. Search jina la rafiki yako
2. Nenda kwenye uwanja wa Message
3. kwenye sehemu ya jina wewe andika namba 2345**235
(kwenye Nyota mbili hizo andika namba tarehe aliyozaliwa iliyopo facebook)
(kwenye Nyota mbili hizo andika namba tarehe aliyozaliwa iliyopo facebook)
4. Sehemu ya kuandikia ujumbe wewe andika jina lake kamili
5. Kisha sign out na kwenda nyumbani haraka na ujue kichwa chako hakiko sahihi maana hakuna ujinga kama huo
Jioni njema

0 comments: