Fahamu "kwa nini mwanamke mwembamba anapenda kuonekana mnene?"

14:07:00 Unknown 2 Comments

Nimefanya utafiti kwa miezi kadhaa hapa mbeya ingawa ulikuwa ni utafiti mgumu sana lakini nimekuja kupata majibu kamili.

Nilijiuliza sana kwa nini mwanamke mwembamba anapenda kuonekana mnene

Mwanamke mweusi anapenda kuonekana mweupe 

Wanamke mweupe hataka asifiwe kuwa ni mweupe

Mrefu anatamani awe mfupi na hali kadhalika mfupi awe mrefu.

Binti asiye na makalio basi atajikuta anavamia mchina na hata kama anaogopa basi ukiandika post inayoonesha kuna njia za kawaida za kuongeza makalio zisizo na madhara basi atakufuata inbox mapaka shida.

Pia nikajaribu kuangalia mwanamke ambaye ni mzuri sana basi mambo yake yanakuwa simple na sio mtu wa kuchanganya mambo sana tofauti na yule anayejiona hana mvuto.

Nilipitia baadhi ya vyumba vya kina dada ( dont try at home) pamoja na vishawishi vingi ( Ooo asante mungu kwa kunifanya nivishinde) nilikuja kugundua yafuatayo:

Mwanamke mwembamba VS Mnene

Hapa niligundua kuwa kila mwanamke anayejoina mwembamba au mnene anakumbwa na mambo mawili yafuatayo

1. Mwembamba anatamani aonekane mnene hivyo nguo zake nyingi zitakuwa ni pana  na pia wakati huo huo anatamani aambiwe ana hips au makalio makubwa kwa hiyo ana nguo fulani pia ambazo anataka zimbane sana angalau aoneshe hazina hizo hata kwa kufosi.

2. Mwanamke mnene yeye hapendi hivyo kwa hiyo yeye nguo zake nyingi ni za kubana sana ili aonekana sio nyama uzembe... lakini pia kuna wale wanene na wanaona kama hawana mvuto basi wao watajitahidi wayafanya matiti makubwa ili wawe na kitu cha kumfanya mtu asiwakosoe jumla.

Mwanamke mweupe VS mweusi

Hapa ubora wa mwanamke mweusi au mweupe unaendena na maeneo... mfano ukiwa sehemu za joto mwanamke mweusi ataonekana ni dhahabu kwa kuwa ni rangi adimu.

Na ukiwa sehemu za baridi kama Mufindi, Njombe, makete na mbeya walai tena mwana mke mweupe ni Tanzanite.

kwa upande ...................................................................................

Itaendelea

You Might Also Like

2 comments: