Ni mimi baba yako nilitaka kuhakikisha tu kama kweli una boyfriend utanikoma leo.... Binti chali kwa preassure!
Mrembo mmoja alipokea simu ya namba ngeni mazungumzo yalikua hivi; Namba ngeni; Hallow, unaboy friend?Mrembo; Ndio ninaye kwani we nani.
Namba ngeni; Mimi baba yako kumbe una boyfriend nikirudi utanitambua..... Simu ikakatika. Akiwa na mawazo nini afanye simu ikaita tena kwa namba ngeni
Namba ngeni; Hello una boyfriend?
Mrembo; Hapana sina. Namba ngeni; vipi mpenzi inamaana umenisaliti! Mrembo; hapana baby nilijua baba kanipigia simu sasa hivi.
Namba ngeni; Ni mimi baba yako nilitaka kuhakikisha tu kama kweli una boyfriend utanikoma leo.... Binti chali kwa preassure!
0 comments: