FAIDA ZA KUWA SINGLE

21:34:00 Unknown 0 Comments


1. utalala vizuri
2. Utatumia ela na muda Wako vizuri
3. Hakuna kupigiana simu usiku wa manane
4. Hakuna kuongea na simu muda mrefu bila ishu za maana
5. Hakuna haja ya kuchaji simu Mara mbili kwa siku
6. Utaweza kuongea na kila mtu bila tatizo lolote
7. Na zaidi ya yote, kama uko single utaweza Ku-copy na Ku-paste hii status na kuweka kwenye wall yako

You Might Also Like

0 comments: