Wachaga pia wamegawanyika,sio wote wajanja,kuna
1.warombo wajanja sana
kibiashara/wezi pia.wameajiri wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao
vijijini wakileta kiburi mjini.
2.kuna wamarangu wazuri
sana wa sura na umbo wanawachuna warombo,wanaume ni waoga kuliko wanawake.
3 kuna wakibosho wanafanana na warombo
lakini ni wavumilivu zaidi,wanatunza pesa vizuri na wanahasira sana,ila
wanamsimamo katika biashara,
4. Kuna wamachame hawa ni
wezi sana,ukifanya nae dili umeliwa,niwasiri sana,anaweza kukuua huku
akitabasamu,sio waaminifu sana lakini huenda kanisani mara nyingi zaidi wachaga
wote.
5. Kuna wauru,hawa hupenda
kusoma sana lakini hawapendi maendeleo kabisa,wanawake wakifikisha umri wa 40
yrs hua wehu,na wanaume ni vichaa mapema zaidi,wanaume ni wavivu,wanawake
wachapakazi,ukioa huko jiandae kulea kichaa,
6. kuna wakirua, wanapenda
sifa kama wahaya,mwanamke wa kirua hawezi kua na mwanaume mmoja na wanaume wao
hawaoi ukoo wao,wako wachache lakini watatu tu mjini mtadhani wako mia.
0 comments: