Ghafla kapaliwa na juisi na kudondoka akazimia.
Wadada watatu walikuwa wamekaa pamoja wakinywa juisi kwenye mgahawa;MDADA 1: Najua mume wangu sio mwaminifu jana nimekuta rangi la lipstick kwenye kola ya shati lake.
MDADA 2: Hata wangu siyo muaminifu, jana nimekuta condom kwenye mfuko wake wa suruali , nilichofanya nikachukua pini nikazitoboa toboa zote nikazirudisha kwenye mfuko.
MDADA 3: ghafla kapaliwa na juisi na kudondoka akazimia.
0 comments: