HUU NDIO UKWELI, UZURI NA UTAMU WA BIBLIA!!!!!!!!!!!
Q: Sura gani ya Biblia ambayo ni fupi kuliko zote?
A: Zaburi 117
Q: Sura gani ya Biblia ambayo ni ndefu kuliko
zote?
A: Zaburi 119
Q: Sura gani iliyo katikati ya Biblia?
A: Zaburi 118
Ukweli: Kuna Sura 594 kabla ya Zaburi 118
Ukweli: Kuna Sura 594 baada ya Zaburi 118
Ukijumlisha Namba hizi unapata 1188.
Q: Mstari upi wa katikati ya Biblia?
A: Zaburi 118:8
Q: Je Mstari huu unaongelea chochote cha maana
kuhusu mpango mzima wa Mungu kwa maisha
yetu?
Mara nyingine mtu akisema angehitaji kujua
Mpango kamili wa Mungu kuhusu maisha yake na
wakati huo huo anataka kuwa
Katikati ya mipango yake,
Basi muweke mtu huyu kati ya maneno yake!
(yaani usiongee kitu nje ya maneno yake)
Zaburi 118:8
"Ni bora kuamini katika BWANA kuliko kumwamini
binadamu."
Je kwa mpangilio huu haishangazi kwa jinsi
ilivyotokea (au Mungu alikuwa katikati yake)?
Kabla ya kutuma habari hii nilisali, Nilisali kwa ajili
yenu. Je una dakika moja? sekunde 60 kwa ajili ya
Mungu?
Cha kufanya ni kusali sala ndogo kwa mtu
aliyekutumia ujumbe huu.........
"Baba Mungu mpe baraka rafiki yangu kwa
chochote ukijuacho
kuwa yeye anakihitaji siku ya leo!
Na Maisha yake yajae Amani yako,
mafanikio na nguvu kama anavyohitaji kuwa
karibu na wewe.
Amina"

0 comments: