Jamani tuwe makini na majibu yetu kwenye sms zetu
Jacque: Hallo Dadii, sitaweza kuja leo niko msibani hapa jirani so kama vipi see you kesho love......
Morgan: OK, ENJOY YOURSELF
22:11:00 Unknown 0 Comments
Jacque: Hallo Dadii, sitaweza kuja leo niko msibani hapa jirani so kama vipi see you kesho love......
Morgan: OK, ENJOY YOURSELF
Nakushukuru kwa kunipa nafasi hii adimu sana ya kufurahi, kuelimika na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana kama utaniachia comment hapo chini ili nijue kama habari,ucheshi, simulizi na vioja vioja hivi vimekupa siku yako kuwa BOMBA. Kumbuka nawe waweza share nami chochote ulichonacho kwa kunicheki kupitia whatsapp kwa namba 0713317171 au kupitia comment. Asante.
0 comments: