Jamani watanzania sio kila mtu anae ishi Uk au USa ana hela acheni kuwasumbua.
kuna jamaa yetu alirudi toka majuu
tukampokea akatugawia chocolate tukajua ni zuga tu atatupa makubwa ikawa ndio zzzzzzzzz
tukajua ni bahili yaani mwaka wa nne leo hana hata kiatu kipya
so mtu akiwa yuko majuu au karudi toka huko usije ukawa na matumainu makubwa ya
kuufuta umaskini

0 comments: