Jifunze lugha laini ya kukwepa mizinga

12:44:00 Unknown 0 Comments

Jacque: Hello Dadie, yaani jamani nimeota ndoto nzuri sana leo asubuhi.
Morgan: Ndoto gani tena baby.
Jacque: Eti imagine nimeota umeninunulia ile simu ya HTC tuliyoiona dukani last week
Morgan: Ok, endelea kulala udownload na whatsapp na kuitumia

You Might Also Like

0 comments: