Kama wewe ni binti na unapenda waume za watu nafikiri hii inakufaa kukuongezea ujasiri

13:06:00 Unknown 0 Comments



1. Kitu anachokitaka kwako ni sex tu. Atakuja na kuondoka kurudi kwa mkewe na familia yake.

2. Hawezi kumuacha mkewe na familia yake kwa ajili ya wewe labda awe mbulula wakuja

3. Ataonyesha anakupenda lakini kumbuka hauko peke yako

4. Baada ya kukutumia atakuacha na kumfuata mwingine

5. Na kamwe hutoweza kumfanyia lolote zaidi ya kuwa hauna uhuru naye

6. Kumtegea mimba haitakuwa suluhu ya yeye kukupenda bado anafamilia na inamhitaji

7. Mali na fedha vyote ni vya yeye na familia yake na wewe utaendelea kufaidi chipsi kuku tu na kutoa huduma

8. Kamwe haupo katika mipango yake ya baadaye

You Might Also Like

0 comments: