Kitabu chauzwa zaidi ya kopi milioni moja ndani ya masaa machache kisa makosa ya kisarufi
Kuna kitabu nasikia kimeuzwa ndani ya masaa manne kopi zaidi ya milioni moja.
Mwenye kitabu alikipa jina la "an idea that can change your life"
Mchapishaji akakosea na kuandika kwenye kava "an idea that can change your wife"
Kila mwanaume kanunua aiseee

0 comments: