KWANGU MIMI HII INATUTIA AIBU NA NI FEDHEA.....

20:04:00 Unknown 0 Comments


Wanawake wa cku hzi wana Viwang vyao vya Hela.

Ukiwa unampa 50,000 na 90,000 utakuwa unaitwa jina lako tu kama Goodmorning Kelvin, Hallow Kelvin How is your Day, Goodnite Kelvin.

Ukiwa unampa kati ya 100,000 na 150,000 utakuwa unaitwa DEAR, Morning Dear, Umeamkaje Dear, Dear Umekula? Usiku mwema
Dear usisahau kuniamsha asubuhi.

Ukiwa unatoa kati ya 200,000 na 300,000 hapa utakuwa unaitwa BABY, Baby How is ur day, Baby naumwa kweli leo, Baby naenda Mwenge see u later.

Ukihonga 300,000 na kuendelea hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi ushaangae. Kila kitu Hubby Ake, Hubby nimejikwaa, Hubby ndo nafunga mlango, Hubby kuna Mende chumbani njoo tulale wote, Hubby hivi unanipenda? Na swali lao KUU, Hubby hivi utanioa lini?

Chagua jina unalotaka...

Mahaba ya siku hizi ni kama MENU ya MPESA, unajihukumu mwenyewe Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY
tu...

Tikisa Wallet kidogo na wewe kabla hujafa uitwe HUBBY AKE!

MAMBO HAYOOOO..

You Might Also Like

0 comments: