Mabrazameni wengine bwana yaani comedy kweli.... kama hujui maana ya vitu si uulize?????
Lugha zetu hizi!!!!!Jacque: Baby ninunulie na mimi simu yenye INSTAGRAM
Morgan: Bebi usijali mimi nitakununulia mpaka ile yenye KILOGRAM ili washindwe wao... " yua maini"
0 comments: