Mambo ya uongo ambayo binti atamwambia mwanaume siku hizi
1.Nina mpenzi ila yuko nje ya nchi
2. Jamaa yule ananisumbua sana ila mimi
simtaki
3. Situmii mkorogo mimi nina natural color
4. Niko period.
5. Sikuwepo jana nilienda kumsalimia rafiki
alinipa 50,000 ila hakunifanya kitu.
6. mie sikupendi kwa ajili ya fedha zako
nakupenda wewe
7. Yule jamaa ni rafiki yangu tu
8. I love u too!
0 comments: