Mzee aliyeniliza asubuhi hii
Baba huyu pichani alifukuzwa kazi kwa hila katika ofisi yake na kufilisiwa kila kitu alichokimiliki.
Maisha yakawa magumu na kila alichokifanya hakikufanikiwa, Kutokana na ripoti walizotoa majirani na wana familia ni kwamba aliondoka nyumbani akiwa yeye mkewe na mwanae akitumia pikipiki yake kwenda kumpeleka mwanae hospitali ili akatibiwe.
Akiwa njiani akapigiwa simu na kuambiwa kuwa baba yake anaumwana yuko hoi na hajapata matibabu wanamtegemea yeye kwani anahitaji msaada wa fedha kwa ajili ya matibabu.......Jambo lililomfanya akatishwe tamaa na kuwa na msongamano wa mawazo
Akiwa katika dimbwi la mawazo huku akiendesha pikipiki akajisahau kuangalia upande wa pili mpaka daladala i likamgonga
na mkewe na mwanae wakafa hapohapo naye akavunjika miguu yote miwili.
Ni binadamu kama mimi na wewe, hebu angalia yaliyomkuta kwa sababu ya mawazo ambayo wote tunayo katika maisha yetu ya kila siku.
Mungu atunusuru na kutupa mioyo ya uvumilivu na tuyahimili matatizo yanayotukabili sisi na familia zetu na yasituletee mamatizo na ya kutuharibu kabisa.
Na pia Mungu awape moyo wa upendo wale wote wanaowaharibia wenzao riziki zao za kila siku kwa wivu na roho mbaya walizonazo ili wajue hao watu wana familia zinazowategemea kama ya huyu mzee.
Laiti kama angekuwa kazini pengine asingepatwa na majanga haya.
Mungu amponye na kumpa nafuu ya maisha huyu ndugu huyu huku akimpa amani na kuutuliza moyo wake baada ya kufiwa na awapendao.
•Tafadhali usipite bila kuandika neno AMEN.... AMEN YAKO INA NGUVU YA KUMPONYA NA KUKUPA NAFASI YA KUTAFAKARI YA MAISHA YAKO NA NAMNA UNAVYOYAKABILI MATATIZO NA KUREKEBISHA MWENENDO WAKO NA VILE UNAVYOISHI NA WENZAKO MAKAZINI NA MAJUMBANI.......
Tafadhali kumbuka ku-like page hii ya Tabasamu na Tabasamu na Fuledi
0 comments: