Mara nyingi mazungumzo ya wanaume ni kujisifu kwa Ngono na Ulevi.

Najua nitapingwa ila kuna ukweli ndani yake
Mara nyingi mazungumzo ya wanaume ni kujisifu kwa Ngono na Ulevi. Unaweza kaa kijiweni na washikaji utasikia oooh mimi nimelala karibu na wanawake wote wa ofisini kwetu na hata mtaani nimechapa sana (anasema haya huku akijua ni uwongo kabisa). Ama mwingine atadakia nimelala jana tu na Khadija na sasa nina miadi na Roselyn (ukifatilia ni uwongo). Hili ni kundi la watu wenye kipato kidogo yaaani wa uswazi.
Ukienda kwa wale wasomi nao ni hivyo nilihudhuria seminar moja,nikashangaa kuona na wasomi wanajadili sana juu ya mambo hayo. achilia mbali kuwa labda ndio ubinadamu... lakini kwa nini mada hizo zitawale zaidi?
Mwingine naye atakupa issue Mke wa Fidel ni mtamu sana lile ta.ko acha tu ..... Msomi Mwingine utasikia nina Mademu wawili nimewapata fb week end hii nauwa mmojawapo lol
Pombe
Wengine utasikia mimi kwa pombe ni balaa jana nimekunywa crate la konyagi na konyagi za kopo. Mwingine atachangia acha hizo mimi jana nimepata za kutosha hadi nikafunga bar. Huyu hawa jamaa ukienda nao bar ya ukweli ni beer mbili anaangusha gari ukimuuliza utasikia oooh jana niliwaka sana
Hivi wazee uanaume ni lazima Ngono na Ulevi

0 comments: