"Mara ya kwanza nililala na mwenye nyumba,sababu alidai kodi yake"

12:59:00 Unknown 0 Comments

MME:"Nambie ukweli mke wangu,hivi ushavunja uaminifu wako wa ndoa mara ngapi?
MKE:"Mara ya kwanza nililala na mwenye nyumba,sababu alidai kodi yake"
MME:"Mmmh...sio mbaya"
MKE:"Mara ya pili ni siku ulipofanyiwa operation ikawa hakuna pesa ikabidi nilale na dokta ili utibiwe"
MME:"Kweli unanijali mke wangu"
MKE:"Mara ya tatu ni ule wakati ulipokuwa unaomba kura za ubunge,ikabidi nitembee na wapiga kura wote ili wakupigie kura! Ndo maana ukashinda uchaguzi"
.
.
Mme akazimia

You Might Also Like

0 comments: