SIO CASTRATION NILIKUWA NATAKA CIRCUMCISION

13:16:00 Unknown 0 Comments

Kamjamaa kasmati smati flani, kalienda hospitali kwa aibu aibu kakamuona dokta;

KAMJAMAA: Gud moning Dokta, I am serious problem of health

DOKTA: Nini tena bwana mdogo?

KAMJAMAA: I want castration operation

DOKTA: Sikiliza, kwani hujui kiswahili? Hiyo operesheni sifanyi

KAMJAMAA: Dokta unajua mambo mengine ni siri so I talk English Please do me castration

DOKTA: Sitaki sioni sababu

KAMJAMAA: Dokta I pay you 1 milion shilings, mzee nisaidie

DOKTA: Dah haya japo kwa kweli sipendi kabisa we bado kijana ntakuwa nakuonea...Jamaa wakati kalala dokta akamfanyia operesheni aliyotaka. Alipoamka dokta akampa maelezo

DOKTA: Sasa kama ulivyoagiza nimekufanyia castration  kama ulivyotaka, lakini nikagundua kuwa ulikuwa unatakiwa kuwa cirumcised pia kwa hiyo nimefanya hiyo pia

KAMJAMAA: Dokta nilikosea kusema nilikuwa nataka hiyo ya pili tu

You Might Also Like

0 comments: