Marafiki wengine feki sana, kazi kuharibu weekend za wenzao

Marafiki wengine feki kweli sasa wewe unaona nimebana sehemu na toto ya college salamu zako nyingi mara familia haijambo mara wife..... sipendagi huu upuuzi wa kuharibiana mipango
22:24:00 Unknown 0 Comments

Nakushukuru kwa kunipa nafasi hii adimu sana ya kufurahi, kuelimika na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana kama utaniachia comment hapo chini ili nijue kama habari,ucheshi, simulizi na vioja vioja hivi vimekupa siku yako kuwa BOMBA. Kumbuka nawe waweza share nami chochote ulichonacho kwa kunicheki kupitia whatsapp kwa namba 0713317171 au kupitia comment. Asante.
0 comments: