Mchanganyiko mzuri wa maneno yenye busara.. kwa hisani ya marafiki wa Fuledi

17:39:00 Unknown 0 Comments



Wa kwanza kuomba msamaha ni jasiri kuliko wote.

Wa kwanza kusamehe ni mwenye nguvu kuliko wote.

Wa kwanza kusahau ni mwenye furaha kuliko wote.



Jiulize, "Je, hiki nikifanyacho leo kitanifikisha kule nitakapo kesho?"

Kama jibu ni ndiyo, vizuri. Unaishi ndoto zako. 

Kama jibu ni hapana, fanya mabadiliko.


Jihusishe na watu werevu, ambao watakufanya uwe bora zaidi. Kama wewe ni mwerevu kuliko wote sehemu uliyopo, jua kwamba upo sehemu sio.

You Might Also Like

0 comments: