Wabongo wengi wana sifa zinazofanana

17:40:00 Unknown 0 Comments


1. Usishangae kabinti hakakujui nawe hukajui kanakuita ‘anko’
2. Mkaka asiyekujua humjui anakuita ‘Anti’
3. Ukimtembelea mtu home asilimia 90 ya CD na DVD zake ni fake
4. Kama aliwahi kusafiri nje, mbongo lazima utamkuta na vichupa vya shampoo toka kwenye hoteli alizolala, au alivyopewa kwenye ndege
5. Mbongo utamkuta ana ndugu zake wengine hawajaongea miaka zaidi ya mitano kwa visa vya kitoto

You Might Also Like

0 comments: