Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshahara.....
Mama mwenye nyumba akamwambia mchichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshahara.
Msichana: Napika vizuri kuliko wewe.
Mama: Nani kakuambia?
Msichana: Baba kaniambia.
Mama: ok. Sababu ya pili?
Msichana: Napasi nguo vizuri kuliko wewe
Mama: Nani kakuambia na hili?
Msichana: Baba pia kaniambia
Mama: ok, na sababu ya tatu?
Msichana: Najitahidi kitandani kuliko wewe.
(Hapa mama kaonekana kutaka kujua zaidi na akawa tayari kujiandaa kumrukia akate kichwa
cha binti mara moja)
cha binti mara moja)
Mama: Mme wangu kakuambia na hili pia?
Msichana: Hapana ni Shamba boy kaniambia
mimi najitahidi kitandani kuliko wewe.
Mama: Tafadhali punguza sauti baba yako
asisikie. Nitakupandishia mshahara wako mara tatu.......

0 comments: