Nimeona kuna mtu anajiita JUMALICIOUS

13:16:00 Unknown 0 Comments

Saidieni watu tafsiri ya maneno haya:

1. LMAO

2.TBT

3. LOL

4. YOLO

Na pia matumizi ya maneno haya:

1. Pretty
2. Licious ( mtu anajiita fulani-licious)

Maana nimeona kuna mtu anajiita JUMALICIOUS

You Might Also Like

0 comments: