Nyie mabinti kama lugha nyingine za chati hamwezi achaneni nazo mtaja tukana bure

16:26:00 Unknown 0 Comments

Jacqueline: Hello, Dear morgan, tumepata msiba tumefiwa na dada yetu mkubwa LOL

Morgan: Sasa kipi kinachofurahisha hapo?

Jacqueline : Hapana ni habari ya huzuni sana , Dadii wangu

Morgan: LOL maana yake laughing out loud au laugh out loud sasa nini kinachokuchekesha hapo?

Jacqueline: Oooh No nilikuwa sijajua niliona kwa rafiki yangu Cat naye huwa anaandika LOL mie nikajua SWAGA

Morgan: Haya bwana pole ila angalia maswaga swaga yako hayo

You Might Also Like

0 comments: