Semina ya wanaume juu ya ndoa imeshindwa kumalizika salama, kila mmtu aondoka kimya kimya

11:15:00 Unknown 0 Comments

Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa., mara ya mwisho kumwambia mkeo kuwa unampenda ni lini? wengine wakasema
 leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie
 nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake. majibu yalikuwa hivi:

 1. unaota au?
 2. umekumbwa na nini?
 3.?
 4. utanieleza hii sms ulikuwa unatuma kwa nani
 5. leo sikusamehe najua kuna kitu.
 6. huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?
 7. najua tu tayari kuna kitu.
 8. wewe sema unachotaka.
 9. leo hunipati ng'o!
 10. nani mwenzangu?

You Might Also Like

0 comments: