Utafiti mwingine mpya waonyesha kuwa watanzania wanaongoza kwa uongo duniani

11:16:00 Unknown 0 Comments



1. Unaingia kwenye daladala mtu anakuuliza habari za nyumbani wewe unajibu salama tu, kumbe umeamkia mangumi toka kwa mme/mke na pengine umemkimbia baba mwenye mjengo kisa pango na watoto no fudi

2. Unaingia ofisini kwa bosi unajifanya kutabasamu wakati unatamani hata usikie anaumwa ili upumue kidogo maana unamuona mzushi

3. Wewe demu lakini mida ya asubuhi unamtext jamaa ambaye umempa kibuti ili akupitie kwani huna usafiri na ikifika mida ya chakula utajifanya kumchekea kumbe wewe haumtaki ila ni hela zake tu

4.wewe ni dume na binti wa watu unamzingua tu na wewe wajua ila fullu kujichekelesha ili uendelee kuitumia hela yake na kagari kake

You Might Also Like

0 comments: