Sichukui tena pasiwedi za mchepuko na kuangalia mwendo wa akaunti yake ya fesibuku....... BP imepanda haitaki kurudi

20:06:00 Unknown 0 Comments

Jamani fesibuku iache iitwe FB

Nina mchepuko wangu humu ndani. Sasa leo kanipa pasiwedi yake.

Niliyoyakuta humo ndani ni hatari.

1. Meseji ambazo hajazijibu 460

2. Meseji kutoka kwa marafiki zangu wanaomzengea  ndio usiseme

3. Friends request usiseme

4. Mbaya zaidi kuna rafiki yangu ambaye anajua kuwa huo mchepuko ni wangu na mpaka muda huu nipo naye hapa huyu rafiki na anachati huku hajui kama anachati na mimi yaani ananiponda kuliko maelezo.... Yaani hapa ofa ya hapa anadai kanitoa huku mie ndio nimetoa mwaliko ...... Nina hasira

Sasa napiga mahesabu hapa naona kuna umuhimu wa kuwa na pasiwedi za akaunti za fesibuku za wake wetu maana ni shida.

Ngoja nijikaze nisije mpa chupa ya uso huyu rafiki na nione ataishia wapi

You Might Also Like

0 comments: