Sifa 10 za mkoa wa Ruvuma (kule kwa kina ne mbwitu)

14:34:00 Unknown 0 Comments



1. Una matuta makubwa ya barabarani "bumps" 
2. una pikipiki nyingi kuliko watu
3. Una matunda mengi ya kipekee mf;- madonga,mfudu,masuku,mbula!.
4. Una mboga nyingi za kipekee mf;- mangaukau,linamfusulela, chikandi,likungu,kipele,mangatungu.
5. Majina mengi ya watu wake ni ya wanyama mf;- komba,mapunda,mbawala,tembo,simba(kahimba),nungu.
6. Pia una ngoma nyingi mf;- madogoli, beta,zilanga,mganda,lizombe,ligambusa,mandilo,chomanga,kihoda,

7. Ili ufike nyumba husika lazima uambiwe nyumbii hii bombi hii
Hiyo ndio Songea yetu banaa..,mji uliobarikiwa!.
Chezea songea weye.

You Might Also Like

0 comments: