Usiombe ujifanye unasafiri na kwenda kwa mchepuko na mkeo nae akafanya yake.... Inaumaaa
Morgan kamuaga mkewe jacque kuwa anaenda semina Iringa kwa wiki nzima, kumbe kahamia kwa demu fulani ka chuo nyumba ya pili toka kwake.
Siku ya kwanza akalala asubuhi alipoamka akachungulia kwake kukoje; si akamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki....
Morgan akapiga kelele, ''We naniii??''
Jamaa akajibu, ''Mshikaji mambo ya mjini haya, mume wa huyu mama
kasafiri kaenda iringa mi ndo najivinjari hapa.''
Morgan akajibu kwa uchungu, "Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Iringa nitakuua walai!!"
0 comments: