Wanaume wa siku hizi usipowavalia nusu uchi hawakuoni

16:43:00 Unknown 0 Comments


Mbuzi alimuuliza Bata: "Kwanini wewe ukitembea kiuno chako ni ndembendembe, yaani kushoto kulia, kushoto kulia?"

Bata akajibu: "Shosti Wanaume wa siku hizi wanapenda Wanawake wanaotingisha wowowo la sivyo hawakutongozi"

+++++++++++++++++++++++++

Bata akamuuliza Mbuzi: "Mbona ww uchi wako unaonekana waziwazi?"

Mbuzi akajibu: "Kama kawa Wanaume, wa siku hizi usipowavalia nusu uchi hawakuoni wala hawakutongozi, sasa mimi imenibidi niache wazi kabisa!

ONYO: MME AU MKE MWEMA HATOKANI NA JINSI UVAAVYO OVYO


BADILIKA

You Might Also Like

0 comments: