Mume flani kamuaga mkewe kuwa anaenda semina Mbeya kwa wiki nzima, kumbe kahamia kwa demu flani nyumba ya pili toka kwake. Siku ya kwanza akalala asubuhi alipoamka akachungulia kwake kukoje; si akamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki....Akapiga kelele, ''We naniii??'' Jamaa akajibu, ''Mshikaji mambo ya mjini haya, mume wa huyu mama kasafiri kaenda mbeya mi ndo najivinjari hapa.'' Mume akajibu kwa uchungu, "Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Mbeya nakuua walai!!"

15:52:00 Unknown 0 Comments

Mume flani kamuaga mkewe kuwa anaenda semina
Mbeya kwa wiki nzima, kumbe kahamia
kwa demu flani nyumba ya pili toka kwake.

Siku ya kwanza akalala asubuhi alipoamka
akachungulia kwake kukoje; si akamuona
jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa
taulo lake anapiga mswaki....Akapiga kelele, ''We naniii??''

Jamaa akajibu, ''Mshikaji
mambo ya mjini haya, mume wa huyu mama
kasafiri kaenda mbeya mi ndo najivinjari
hapa.''

Mume akajibu kwa uchungu, "Shenzi
mkubwa, ngoja nirudi toka Mbeya nakuua walai!!"

You Might Also Like

0 comments: