WANAWAKE WAWILI WALIKUTANA MBINGUNI
WANAWAKE WAWILI WALIKUTANA MBINGUNI :
MWANAMKE 1 : Mambo, naitwa Lorraine.
MWANAMKE 2 : Poa, mimi naitwa sekilasi, sasa
naomba nikuulize ulikufaje?
MWANAMKE 1 : Imagine nilikufa kwa baridi ya
kulala ndani fridge ya nyumba moja.
MWANAMKE 2 : Pole sana my dear!
MWANAMKE 1: Hata haikuwa mbaya sana.
Wewe hebu niambie ulikufaje ??
MWANAMKE 2 : Mimi nilikufa na stress, nilijua
mme wangu ana uhusiano na mwanamke
mwingine. Sasa siku moja nimerudi nyumbani
usiku baada ya kudokezwa kuwa yupo ndani
nikaanza kumtafuta, nikatafuta, nikatafuta
huyo mwanamke kila
mahali lakini nikamkosa.
Imagine nilitafuta for 6 hours. Baada ya
kutafuta nikachoka na kujilaza kitandani na BP
ikapanda nikafa.
MWANAMKE 1: Pole sana. Ungemtafuta hadi
ndani ya fridge, tungeweza kuwa wazima mimi
na wewe.
0 comments: