Wapendanao wakurupushwa kichakani na chatu wa ajabu....

21:12:00 Unknown 0 Comments

Marlene Swart na Leon Swanepoel walipatwa na mkasa huu wa kumwona nyoka mkubwa (chatu) mwenye urefu wa futi 16 kwenye  bonnet wakiwa katika mapumziko kwenye mbuga ya taifa ya Kruger iliyopo afrika ya kusini






You Might Also Like

0 comments: