WE MKUBALI TU, KIKUBWA UHAI
Jamaa alitoroka jela ambako
alikuwa kafungwa miaka 25.
Nyumba ya kwanza aliyovunja
akamkuta mtu na mkewe
wamelala. Akawaamsha kwa
vitisho kisha akawafunga
kamba kwenye kitanda. Baada
ya hapo akainama na
kumnong’oneza kitu yule mke,
kisha akaelekea bafuni. Wakati
yuko huko mume akamwambia
mkewe, ‘Sikiliza huyu jamaa ni
wazi katoroka jela si unaona
nguo zake? Sasa nimemuona
anavyokuangalia, ili asituuwe
chochote atakachotaka we
mkubali tu, mridhishe hata
kama kitakuwa kinakuchefua,
itakuwa siri yetu kikubwa uhai.
Nakuenda sana mke wangu’.
Mke akajibu,’ Si umeona
kaninong’oneza kitu? Alikuwa
ananiambia jela kumemzoesha
wanaume, na wewe kakupenda,
kaenda bafuni kujitayarisha.
Mume wangu ili asituuwe
chochote atakachotaka we
mkubali tu, mridhishe hata
kama kitakuwa kinakuchefua,
itakuwa siri yetu kikubwa ni
uhai. Na mie nakupenda sana
mume wangu”
0 comments: