Yaani unakaa na mtoto wa watu miaka 5 ya uchumba, ushamfunua- funua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani

17:50:00 Unknown 0 Comments

Yaani unakaa na mtoto wa watu miaka 5 ya uchumba, ushamfunua- funua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani, unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa, mtoto wa watu amekunja nne ametulia anajua ndoa inafuata soon halafu wewe ghafla tu unakuja kumzingua na kutangaza ndoa na mtu mwingine,

 Akikuuliza sababu ya kumuacha yeye mataa unasema siwezi kuoa Mwanamke hajui kukatika kitandani nataka kuoa fundi wa kumiliki kitanda, Ulimfundisha??

 Kwaniunaoa mtu wa kujenga Familia au unaoa mke wa kwenda kufungua bendi ya kukata viuno?? 

Maana kama nia yako ni kupata mke anayekatika basi ungeenda kuoa Wanenguaji kwenye bendi ya Akudo Impact, Mnaumiza watoto wa watu kibwegebwege na sababu za kikuku-kuku, Kwani utakula kiuno all ur life? 

Au utajenga familia huku mnakatika?? Grow up, ur motives are wrong na ndoa zenu zitakuwa wrong milele, Nimemaliza Mimi!!

You Might Also Like

0 comments: