Mwanamke kuchangia stori akajibu ''me too.
Mwanamke mmoja alienda kwa daktari. Alitafuta mtoto kwa miaka 10 bila mafanikio.
Daktari: Majibu yanaonyesha huu mjamzito.
Mwanamke: Ashukuliwe mungu loh!
Daktari akatoa story fupi kidogo.
Daktari: Nakumbuka nilikuwa na kuku wangu mda mrefu hakutaga, nikabadilisha jogoo akaanza kutaga.
Mwanamke kuchangia stori akajibu ''me too.
0 comments: