Ndoto nyingine laana tupu
Jamaa mmoja single lakini aliyekuwa akijitahidi kutafuta mpenzi kwa udi na uvumba alijikuta akitoa kioja cha mwaka.
Jamaa akiwa usingizini mara akanza kuota anadate na mtoto mmoja wa kizungu na baada ya muda mrefu wa mahusiano binti akamwambia kuwa ana ujauzito , jamaa akafurahi sana na kumwahidi wangekuja kuoana mara baaada ya binti kujifungua
Siku zikasogea na hatimaye binti akaingia leba sasa kwa jinsi walivyo na mahaba ya dhati jamaa nae akawa anapata uchungu nae akajikuta anamsaidia binti kujifungua na wakapata bahati ya jifungua salama na jamaa akasema wow mtoto kawa mzuri tena kafanana na mama yake
Duh kumbe jamaa asijue alikua ndotoni na ule uchungu ni kuwa haja kubwa ilimbana........ Basi kumbe jamaa kaachia kitu kwa bedi

0 comments: