Sahau PARAGRAPH yoote hii ila kumbuka hili tu...MARRY YOUR BESTFRIEND
PENZI HUFA...BESTFRIEND HUDUMU:
Watu huanza Mapenzi kwa Mbwembwe sana...always..utaonyeshwa vitu mpaka utajiuliza "Alikuwa wapi siku zote Malaika huyu wakati nateseka na Mapenzi"..Muda unapokwenda Penzi huanza kuchuja taratibu na unagundua huyu "Malaika' nae ni walewale tu...Hii ni Law of Diminishing Marginal Utility,ipo tu kataa au kubali...Na hapo ndipo URAFIKI WA KWELI huokoa jahazi
Wale ambao hupata mihemko ya kufunga Ndoa baada ya kukutana miezi 4 tu,kipindi bado Mihemko ya Penzi iko juu sana na kusahau kuna LAW itaaply very soon ndo huangukiaga pua bila kutegemea
ALWAYS GET MARRIED TO YOUR BESTFRIEND
-Huwezi kumdanganya Bestfriend wako
-Huwezi kumuumiza Bestfriend wako
-Huwezi kuona Bestfriend wako hana raha
-Huwezi kumkosesha Amani Bestfriend wako
-Huwezi kumuacha Bestfriend wako
-Huwezi kumsaliti Bestfriend wako

Wengi tunaoa WAPENZI WETU badala ya BESTFRIENDS....So wrong...Wazungu wanasema "Theres a thin line between Love and Hate"...Watu wanaoana leo kwa mbwembwe,miaka 3 unasikia Mme kamuua Mkewe kwa Shoka...WHAT HAPPENED???Same Love imegeuka kuwa Terrible Hatred!!
Ukioa/Kuolewa na BESTFRIEND WAKO ni raha sana,unakuwa huru kuongea na kufanya lolote mbele yake maana Bestfriend ni mtu anayekuelewa zaidi kuliko hata babako mzazi unayeweza kumuektia wewe ni mtoto mzuri kumbe kitaani unakula wida
Huwezi kumjua Bestfriend kwa Miezi 3...Wazazi wetu walikuwa na akili..Hawakukurupuka...Sisi tunajifanya wazee wa ndoa za MKUKUTA na FAST-TRACKING,Miezi 6 unaoa...Ndoa zote unazoona Wanandoa wana miaka nenda rudi wanapendana kama makinda ya Njiwa..Waulize vizuri...utagundua wale sio WAPENZI TU....Ni Bestfriends!!

0 comments: