Tafadhali soma ushuhuda huu.... !

20:54:00 Unknown 0 Comments





Mhubiri mmoja alimwambia kaka mmoja mwimbaji wa kanisani jumapili moja kuwa, 

"kabla ya ibada ya leo jumapili, Mungu atakutumia wewe ili kuyafuta machozi na machungu ya familia yako kwa kukupa muujiza"

Kijana alihitimu chuo na kuhangaika kwa muda mrefu akitafuta kazi bila ya kupata huku akikabiliwa wa jukumu la kumhudumia mama yake ambaye alikuwa akilisumbuliwa na ugonjwa kwa muda mrefu alimjibu yule mhubiri kwa "AMEN" sauti kubwa yenye imani na matumaini huku akitokwa na machozi kama ishara ya kukubaliana na sala ya mhubiri yule.

Mara baada ya kumaliza ibada ya siku ile kuna mtu mmoja aliyekuwa katika ibada ile akamfuta yule kijana na kumwambia amefurahishwa sana na kipaji chake cha uimbaji hivyo angeomba kumpa zawadi ya ajira katika kampuni yake ya uchimbaji mafuta na kuongeza kusema

" Jana usiku nilioteshwa na MUNGU kuwa kuna mtu ataimba vizuri nami nitatakiwa kumsaidia kwa kuwa amekuwa na shida kwa muda mrefu, hivyo Mungu akaniambia nikupe kazi hii".

SOMA HAYA:

Ni wengi waitwao lakini wachache ndio huchaguliwa.

KWa wale wote ambao huamini katika maneno haya kuwa ni sawa na sala \..

1)Kabla ya mwezi huu wa saba kwisha MUNGU amtume mtu na kukupa muujiza wa kukusaidia kimaisha.

2). Kabla ya mwezi huu kwisha wale waliokuona wewe ni mbaya watakuja na kukushangilia

Comment neno "Amen" kwa ajili ya hii sala..

Usiidharau, hebu iache imani yako ifanye kazi.

like Tabasamu na Fuledi

You Might Also Like

0 comments: