Wivu una madhara makubwa sana

20:52:00 Unknown 0 Comments



Kijana mmoja aitwaye Dan aliyekuwa kapata mafanikio mazuri katika biashra yake alichukiwa sana na rafiki yake..

Rafiki yake alimwomba amkopeshe fedha jambo ambalo Dan alilifanya bila kinyongo na muda wa kuzirudisha fedha zile ulipofika rafiki akawa mgumu wa kulipa.

Akapanga mpango wa siri ili amwalike Dan sehemu mmoja mbali na kwao na Dan bila kufahamu akaenda mpaka eneo lile.

Alipofika pale wakampiga na kuhakikisha wameumuumiza vya kutosha na walipoona atakuwa kafa wakakimbia kurudi kwao.

Walipoondoka tuu, Dan alilia kwa sauti ya kumwomba Mungu kwa mara ya mwisho kwani alikuwa na pumzi bado akisema,

" Eeeh Mungu wangu naomba unirehemu na hata kama nitakufa msamehe rafiki yangu nami nikumbuke katika utukufu wako kwani roho yangu naikabidhi kwako na ikikupendeza niokoe katika hili"

Na Mungu akamwokoa kwa kuwapitisha wasamaria wema katika eneo lile na Dan akakimbizwa hospitali na kupona baada ya matibabu.

Rafiki naomba usome haya:

Mungu anasema, "Katika nyakati za hatari nitakisikia kilio chako na kukuletea malaika wa wokovu nao watakuokoa"

Kwa kila mtu atakaye iomba sala hii
..
1). Kila msaada au mkopo utoao usije ukageuka na kuwa mkosi kwako
2). Hata kama maadui zako watafikiri wamefanikiwa kukudhuru au kukurudisha nyuma, Mungu wetu na asikie kilio chako na kukupa uangalizi na kukuokoa."Amen"

Comment "Amen" unaamini katika ulinzi wa Mungu na kisha share ujumbe huu kwa kila rafiki unayemjali..

kumbuka kujiunga na Tabasamu na Fuledi kwa ku-like na ku-share

You Might Also Like

0 comments: