Ungekuwa wewe ungechukua maamuzi gani?

23:47:00 Unknown 0 Comments



Dan kakaa na kupokea habari kuwa mpenzi wake aitwaye salome hajatulia yaani macho juu juu sana.

Dan kafanya uchunguzi wake wa kina kwa muda bila kupata data zozote za kufanikisha kumfuma mpenzi wake akiwa na hao majamaa.

Basi Dan akamshirikisha rafiki yake aitwaye Fuledi na kumwambia aende kwa mpenzi wake akampe somo aone kama kweli ni kicheche au lah.

Fuledi kaenda na alipompa somo salome akakubali na sasa binti anampenda Fuledi kuliko dan

unamshauri nini dan wetu?

You Might Also Like

0 comments: