Duuh, kumbe watu wengi wakishtushwa na jambo matokeo yake huwa hivi

11:09:00 Unknown 0 Comments

Sisi binadamu wakati mwingine tuna mambo ya kufurahisa sana sana sana yaani sio kidogo.
Unajua kuna majadiliano fulani tulikuwa tunafanya mida hii na jamaa zangu fulani nimefurahi sana na kujifunza mengi sana.

Kumbe bwana kila mtu akitishiwa au kupata taarifa au kitu kitakachopelekea kupata mshtuko basi kila mtu hukabiliana na huo mshtuko kwa hali fulani ili kushtushwa huko akuzoeee.

Sasa basi katika kukabiliana na hali hizo kuna watu miili yao huleta tafrani za hapa na pale ingwa sio wote hujionesha.

Jamaa wa kwanza yeye kadai akipokea taarifa za nkushtusha basi yeye hujamba kwa sekunde kadaa na kisha mwili hukaa sawa na uoga wote huondoka.

Jamaa mwingine yeye kadai akishtushwa tuu basi ni lazima akakojoe kwanza ndio akili ikae vyema
Kidogo nicheke lakini kwa kuwa nakula somo nikakaa kimya. sasa huyu wa mwisho kadai yeye akishtuswa ni lazima aharishe mara kadhaa ndio akili ikae vyema.

Sasa napata wakati mgumu hivi zile shuzi za kwenye ile lift ya mbeya inamaana wengi wanakuwa na mshtuko mle ndani na wengine usikute washachia uharo au ni nini?

You Might Also Like

0 comments: