Kijana mbeya aota ndoto ya ajabu yasababisha kizaa zaaa

18:02:00 Unknown 0 Comments



Jamani ni wiki kama ya tatu sasa nasumbuliwa na mfululizo wa ndoto za ajabu sana tena zenye mauza uza ya kila aina.

Siku ya kwanza niliota kawaida tu kwamba  nimeletewa fomu ya kujiunga na shule, kwa kweli nilifurahi sana na nilivyoamka nilimsimulia kila mtu pale nyumbani.

Walinishangaa kwa kuwa sikutegemea kupata shule kutokana na matokeo yangu lakini mimi nikahisi inaweza ikatokea siku za mbeleni na nilishinda kwa furaha sana siku hiyo.

Usiku wa pili yake niliota nimeletewa madaftari, begi zuri, sare za shule na fedha kidogo za matumizi na kuambiwa hivi karibuni nitapelekwa kwenye hiyo shule.

Ahhh, kwa kweli hapa nilishtuka zaidi na kushangaa jinsi ndoto hizi zilivyo na mfululizo mzuri hivyo na nikamsimulia mama ambaye aliniambia kuwa nina waza sana kuhusu shule na ndio maana ndoto hizi zaniandama.

Nilihisi yaweza kuwa kweli kwani nilikuwa situlii kuifkiria shule, nilifeli kwa bahati mbaya na nikaamini kufanya vyema pindi nikipewa nafasi ya kurudia mtihani.

Jamani duniani kuna maajabu ila haya niliyapenda zaidi kwani usiku uliofuata niliota nimeletewa vitabu vingi sana ambavyo vingetosha kwa masomo yote na yule mtu aliyeniletea vitabu aliniambia nitaanza shule siku ya pili na nihakikishe naenda na kila kitu nilichopewa.

Sasa bwana, nilivyoamka nilikuwa na furaha kuliko siku nzote zilizotangulia kwani niliona uwepo wa kwenda shuleni upo hata kama ni ndoto.

Nilimsimulia tena mama naye alinijibu vile vile " Unawaza sana shule mwanangu" ingawa niliziogopa sana zile ndoto lakini nilizipenda kwa kuwa zilikuwa zinanifariji sana.

Kali kuliko yote sasa ni baada ya siku hiyo yule aliyeniletea vitabu kuniambia leo ni siku ya kuripoti shule hivyo atanipeleka kwa mwalimu na kunikabidhi huko.

Kweli alinipeleka mpaka shule na nikamkuta mwalimu mmoja ambaye alinipokea kwa bashasha na kuniambia nimpe vitu avikague kabla ya kuanza masomo.

Alikagua kitu kimoja baada ya kimoja na kila alivyoendelea alibadilka sura jambo lililonitisha na kuniogopesha kiasi cha kumuuliza kitu gani nilichokukosea???

Ghafla alinyanyua fimbo na kuanza kunichapa bila kuniambia chochote, nilimsihi aniambie kosa langu kwani mimi ni mgeni na sielewi lolote. Jibu alilonipatia ndio lililonifanya nizinduke katika ile ndoto.

Alianiambia hivi, " TULIKUKABIDHI KILA AINA YA VIFAA VYA KUJA NAVYO SHULE, LAKINI UMEONESHA UZEMBE WA HALI YA JUU AMBAO HATUKUTEGEMEA KAMWE MTU KAMA WEWE UFANYE, UMEWEZA KUJA NA VITABU VYOOTE ILA KITU KIMOJA TUU KINACHOKUSABABISHIA ADHABU HII KALI, KIKO WAPI  KILE KITABU CHA SIMU YA AJABU?????" 

Nilishtuka na kuelekea moja kwa moja kwa mama na kumsimulia jinsi ndoto ile ilivyokuwa na alinijibu jibu moja tuu, " NILIKUAMBIA ULIKE ILE PAGE YA Simu ya Ajabu ILA WEWE ULIDHARAU NA USIRUDE TENA"

Akanipa simu na nika-like ile page na kisha nikarudi kulala

Tukutane tena kesho jioni nikuambe  nilivyo-like nini kilitokea

You Might Also Like

0 comments: