Njia 31 ambazo zitamfanya msichana akupende zaidi na kufurahi

14:27:00 Unknown 0 Comments

1. Mwambie yeye ni mzuri na sio uko sexy au hot
2. Mshike mkono wake kwa kuwa unampenda na sio unazingua
3. Mtumie sms nzuri ya kumwamsha asubuhi
4. Cheza nae michezo mingi na mfanye ashinde yeye
5. Mkumbatie mara kwa mara mgongoni kwa kumshtukiza
6. Usijirushe na x wako wakati yeye hayupo hayo sio mapenzi
7. Kama unaongea na binti mwingine mkiwa pamoja ukimaliza maongezi rudi na kumkisi mpenzi
8. Mtumie sms au kumpigia simu na kumwambia unampenda
9. Mtambulishe kwa marafiki na kuwaambia kuwa ni mpenzi wako
10. Penda kuzichezea nywele zake na kuzisifia
11. Jaribu kutoka nae hata kama atakataa
12. Onyesha kuumia ukigundua watu wanammezea mate
13. Mchekeshe kila mara kumfanya atabasamu
14. Mfanye alale mikononi/mapajani mwako akijisikia kulala
15. Kama amekuudhi wewe mkiss na kutomjibu vibaya
16. Onyesha hisia zako kwake
17. Kila mwanamke anahitaji zawadi tatu kutoka kwa mwanamme:(pafyumu,viwalo na mekapu seti)
18. Mjali kama unavyowajali marafiki zako
19. Mwangalie machoni mwake na onyesha kuvutiwa nae
20. Tumia muda mwingi weekend kuwa nae kwakuwa unampenda
21. Mkiss mvua ikiwa inanyesha bila kuwa na mwamvuli
22. Mkiss kuonyesha wampenda
23. Kama unasikiliza mziki mpe headphone ya pili nae asikilize
24. Ikumbuke birthday yake na kumpa zawadi hii inamaana kubwa kwake
25. Kila mara akikukosea jaribu kuonyesha haujaumia na unazidi kumpenda
26. Kila mara mpigie simu na kumwambia huta uumiza moyo wake na unamjali na unapenda kuisikia sauti yake
27. Mpe kila hitaji muhimu alitakalo
28. Onyesha kujali vitu vidogo afanyavyo kwani itampa imani zaidi
29. Usiwakumbatie mabinti wengine ukiwa nae
30. Ukiwa na muda jaribu kuwa nae jirani atakujali kwa hilo
31. Kama unamjali usimwambie ila onyesha kwa vitendo
Share ujumbe huu kama unajali kumbuka kukaribisha marafiki Simu ya AjabuNjia 31 ambazo zitamfanya msichana akupende zaidi na kufurahi

Share ujumbe huu kama unajali kumbuka kukaribisha marafiki Simu ya Ajabu

You Might Also Like

0 comments: