Mzee wa michepuko anaomba ushauri

22:15:00 Unknown 0 Comments

Jamaa anamichepuko mingi na kuna binti mmoja jamaa alimwahidi atamtumia fedha leo.
Sasa yule binti kambeep jamaa na jamaa hakuwa na namba ya voda ya huyo binti.
Jamaa akaamua afanye kama ambavyo na wewe huwa unafanya kuuliza jina kwa kujifanya unaatuma fedha kubwa ili jina lionekana.
Jamaaa katuma laki nne na nusu na zote zikaenda kumbe alitumiwa laki tisa na mkewe ili walipe kodi ya nyumba ya miezi sita na sms ilikuwa haijaja.
Binti kapiga na kusema "asante sana dear yaani kama ulijua nipo hapa kibandani nitatoa na kukupigia... Love u"
Jamaa kachanganyikiwa anaomba msaada wa mawazo maana ni shida na binti kashaitoa fedha
Mpe ushauri

You Might Also Like

0 comments: