Kama nawe wafanya haya jua Mungu anakuona na kuna siku utaaibika

12:20:00 Unknown 0 Comments

1. Unanunua gazeti la udaku halafu unaliweka katikati ya gazeti la Mwananchi- Mungu anakuona
2. Unajenga nyumba kisha unazungushia ukuta wenye geti kubwa, kumbe ndani hakuna nafasi hata ya kupaki baiskeli- Mungu anakuona
3. Home choo cha shimo, unadanganya eti unatafuta fundi bomba flash imeharibika -Mungu anakuona
4. Umekula ugali na bamia halafu unarusha picha humu na kijiti mdomoni - Mungu anakuona
5. Unasoma karibu nikutume secondary school bt fb waandika unasoma feza- Mungu anakuona
6. Kwa wale wanaoandika txt, 'Nakumiss' halafu kuituma kwa wapenzi 20..........MUNGU ANAWAONA
7. LUKU imekata kwenu umekaa nje unatext watu,'Niko nje napata upepo mwanana'.......MUNGU ANAWAONA
8. Huna kazi, mpenzi wako mtumishi wa serikali mshahara laki 3 kwa mwezi, Birthday yako unatumia milioni mbili......MUNGU ANAKUONA
9. We ni kiserengeti boy una mpenzi wa miaka 50, unamtext 'Njoo baby', we huyo baby au nyanya yako?.....MUNGU ANAKUONA
10. Unapiga picha sebule ya boss wako unaiweka FB na kukoment Home Sweet Home........MUNGU ANAKUONA

Redds Miss Tanzania 2013, Happyness Watimanywa (kushoto), akiwafundisha kusoma watoto ndani ya Nkema Reading Club

Nawe unakaribishwa kumleta mwanao hapa Nkema Reading Club WEEKEND hii ili kumjengea uwezo wa kusoma
Nkema Reading Club ni kituo cha kusomea watoto kuanzia umri wa miaka miwili hadi miaka kumi na nne,ambapo mtoto atajifunza mambo mengi ikiwemo kupenda kusoma vitabu ili kuongeza maarifa,vita...
KARIBUMBEYA.COM

You Might Also Like

0 comments: