BABA BABA ANGALIA KITANDANI

08:51:00 Unknown 0 Comments




Mzee mmoja mmoja aliyeachana na mkewe na kuendelea kuishi na mtoto wake wa miaka minne alipatwa na majanga ya mwaka jana.

Mzee huyu baada ya kutoka bar akiwa kapiga pombe za maana, usiku wa manane akashtuka na kuona kuwa kajisaidia haja ndogo kitandani.

Alikili  ya haraka ikamtuma amwamishe mtoto wake ana kumweka alikokojoa naye kulalaule upande wa mtoto.

Ile anaamka tu asubuhi anakuta dogo anamwambia baba angalia umeachia kimba... mzee leo kaenda kumfuata mkewe maana p ingeweza zidi kushuka




You Might Also Like

0 comments: