Mambo ya kuyafahamu na kuwa makini nayo unapoomba kazi au unapoitwa kwenye usaili

13:17:00 Unknown 0 Comments


1. Hakikisha CV yako ni yako kweli (usiandike sifa au uzoefu ambao huna!). Kama ni kazi inayotaka uzoefu, maswali mengi yatataka kutest uzoefu wako katika maswala kadhaa. Ni vema ukajiandaa vizuri kuelezea kazi ulizokuwa unafanya, mafanikio na challenges ulizokutanana nazo na jinsi ulivyozitatua.
2. Jaribu kufahamu matarajio (requierements) ya kazi unayoiomba. Interviwer mara nyingi atauliza maswali ili kujiridhisha kama kweli you are up to the job!
3. Jaribu kuifahamu............. endelea http://karibumbeya.com/…/mambo-ya-kuyafahamu-na-kuwa-makin…/
Mambo ya kuyafahamu na kuwa makini nayo unapoomba kazi au unapoitwa kwenye usaili 1. Hakikisha CV yako ni yako kweli (usiandike sifa au uzoefu...
KARIBUMBEYA.COM

You Might Also Like

0 comments: