Mwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Surabnzuri kama Miss Utalii na Makaliobyanayoweweseka akitembea kama mshumaa

17:12:00 Unknown 0 Comments



Mwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Surabnzuri kama Miss Utalii na Makaliobyanayoweweseka akitembea kama mshumaa
uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi...Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya macho na ngono...
THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX
Ndo maana utashangaa Mtu amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa demu wa 'kawaidaaaa' mwenye sura kama amepiga chafya isiyotarajiwa
halafu unaanza kujiuliza huyu Kaka amekosa nini . .. Hajakosa kitu...amevumbua dhahabu.
Mwanaume anahitaji Mwanamke MSAIDIZI . . . MSHAURI . . MBEMBELEZAJI . . . MTIA MOYO . . . MWENYE MAONO . . . Sio Mwanamke anajua Club zote mpya ilizofunguliwa Wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plot zinauzwa Madale ili amshauri mmewe ku-acquire Land.
Utashangaa na mkalio wako kama dansa wa Baikoko umetemwa na anaolewa bishosti hajawahi kuvaa kipedo tangu azaliwe,anavaa
charanga. Kama unadhani Shepu ni mali nenda kaombe kazi Twanga Pepeta . . . . . Tutaendelea kuoa vituko kwa sababu Vina Akili na Vinajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama Mtazamaji kwa sababu HUOLEKI . . . .
SAMAHANI LAKINI . . . . . JIONI NJEMA!!!
like Karibu Mbeya na itangaze biashara yako kupitiawww.karibumbeya.com

Habari za Ijumaa kuu,
Leo nitaongelea product ya kusaidia wagonjwa wa kisukari, hii inaitwa IH-MYOON, Immune support for Diabetes, inasaidia sukari isipande mara kwa Mara, pia taratitu kurudisha uhai wa kongosha.
Matumizi:
...See More
Habari za Ijumaa kuu, Leo nitaongelea product ya kusaidia wagonjwa wa kisukari, hii inaitwa IH-MYOON, Immune support for Diabetes, inasaidia sukari isipande mara kwa Mara, pia taratitu kurud...
KARIBUMBEYA.COM
Posted by Fred Kihwele · 2 hrs · 
Je unawazo la kuanzisha biashara yako, lakini hujui aina ya biashara itakayokutoa kimaisha?

Hapa chini kunanjia muhimu zitakazokusaidia ili uweze kuanzisha biashara yako ndogo itakayokuwezesha kusonga mbele kimaisha.
...See More
Karibu mbeya is a leading mbeya’s online site which provides you an opportunity to get several goods and services being available here in Mbeya and other neighboring places. Read more
KARIBUMBEYA.COM
Posted by Fred Kihwele · 6 hrs · 
Tunakutakia PASAKA njema
Share kwa rafiki unayemjali
Posted by Fred Kihwele · 7 hrs · 
SIMULIZI YENYE UKWELI WA KUUMIZA JUU YA MAISHA NA MATUKIO HALISI YANAYOTOKEA KATIKA JAMII YETU
LANGO LA MOTONI
CHAPTER 10
...Continue Reading

You Might Also Like

0 comments: